Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Macrina Clemence kulia akitoa elimu kwa mmoja wa wananchi waliofika kwenye Banda lao wakati wa maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga Wananchi wakiwa kwenye Banda ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipatiwa huduma mbalimbali wakati wa maonyesho hayoWananchi wakiendelea kupata huduma kwenye Banda ya NHIF
Home
AFYA
HABARI
HABARI ZA KIJAMII
NHIF WASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII YA 10 YA JIJINI TANGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: