Dalili ya ugonjwa wa Fizi 
1. Meno kulegea bila kuwa na maumivu 
2.Chokaa kuganda kwenye meno hubadilisha rangi ya meno.
3. Harufu mdomoni.
4. Meno kuwa marefu na kusababisha mianya. 
Mabibabu: Meno yanaweza kusafishwa nakurudishwa kwenye hali yake ya awali
Fluorosis ni Hali ya meno kubadilika rangi husababishwa na kunywa maji yenye madini mengi ya fluoride kwa wingi hivyo kusababisha meno kubadilika rangi, hali hii inaweza kutibiwa na meno kuwa meupe na mwonekano wa kupendeza
Jino lililokatika linaweza kutengenezwa na kurudi hali yake ya awali
Jino lililoharibika na kubaki mzizi ,mzizi huu unaweza kutumika kuweka nguzo na kushikilia Jino la bandia
Meno yenye mianya au kubanana yanaweza kutibiwa na kuwa na mpangilio mzuri.
Sehemu yenye pengo inaweza kuwekewa jino la bandia linaloweza kutafuna pia kuwa na mwonekano mzuri
Makosa 10 yanayofanywa wakati wa kupiga mswaki.
Jino linalouma linaweza kutibiwa Kwa kusafisha mizizi ya jino na kupona kabisa (Root canal treatment)
Meno yenye ukungu wa njano yanaweza kung'arishwa na kuwa katika hali nzuri.

Dalili za kutoboka meno .   
1. Maumivu ya jino ukinywa vinywaji baridi au moto 
2. Meno kuwa na shimo 
3. Meno kuwa na rangi nyeusi

Huduma tunazotoa:

1. Kuziba meno -Teeth Filing

2. Matibabu ya mzizi - Rootcanal treatment

3. Kusafisha meno -Scaling & Polishing

4. Kung'arisha meno - Teethwhitening

5. Kuvalisha meno kofia - Crown & bridges

6. Urembo wa meno - Teeth jewellery

7. Kuunga Taya/meno yaliovunjika - Fracture fixation

8. Kupanga meno Braces

9. Kung'oa -Extraction

10. X-ray ya meno- Dental x-ray

11. Meno bandit -Acrylic denture/Rubber denture

Karibu; Appledent Dental Clinic kwa huduma za matibabu na ushauri was afya ya kinywa na meno. Kwa mawasiliano DR +255 756 081223
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: