Dj wa Kimataifa David Omari a.ka DJ D-Ommy (Mr. Washawasha) mapema jana Julai 14, 2018 ameamua kuachana na chama cha mabachela kutoka Clouds Media Group na kuungana na mke wake mpenzi Agness Brigitta. Ndoa hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali. Hongera sana DJ D-Ommy kwa kuamua, Mungu awasimamie katika ndoa yenu.





Toa Maoni Yako:
0 comments: