WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu katika akigawa vyakula vyenye thamani ya sh.milioni 29.9 kwa kaya 500 za wakazi wa Jiji la Tanga ambavyo ni Mchele Kg 5,Maharage Kg 5,Sukari Kg 5,Unga wa Ugali kg 5,Unga wa Ngano Kg 5,Chumvi Kg 1 na Mafuta ya kupikia lita 5 kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri vilivyotolewa na Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) baada ya kuwapa maombi ya mahitaji hayo kwa wakazi hao kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella katika halfa iliyofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga.

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu kushoto akiwa na Mratibu wa Shirika la Maendeleo Uturuki (TIKA) Hikmet Ozdenoglu wakifuatilia ugawaji wa vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri.
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu katikati akiwa na Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto wakiwa na Mratibu wa Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) Hikmet Ozdenoglu wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye halfa hiyo ya ugawaji wa vyakula ambavyo ni Mchele Kg 5, Maharage Kg 5, Sukari Kg 5, Unga wa Ugali kg 5, Unga wa Ngano Kg 5, Chumvi Kg 1 na Mafuta ya kupikia lita 5.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Tanga akizungumza wakati wa halfa hiyo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Allan Kingazi katikati akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella wakati wa halfa hiyo kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Hamisi Mkoba
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kulia akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto wakati wa halfa hiyo.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Tanga katikati akiteta jambo na Mratibu wa Shirika la Tika Hikmet Ozdenoglu kabla ya kuanza zoezi ugawaji wa vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella.
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kupata vyakula hivyo kwa ajili ya sikukuu.
Sehemu ya vyakula vilivyotolewa.
Sehemu ya vyakula vikishushwa kwenye gari tayari kwa ajili ya kugawiwa wakazi 500 wa Jiji la Tanga ambavyo vimetolewa na Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA).
Toa Maoni Yako:
0 comments: