Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga.
Mmoja ya Wadau kutoka Tasisi ya K Innovates Nasra Kaseja akizungumz ajuu ya umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga.
Msherehesjai wakati wa Iftar hiyo Mtangazajoi wa Raidio Masoud Kipanya akizungumza juu ya utaratibu na umuhimu wa kufutirisha makundi ya watu maalum katika kipindi hichi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Ko Innovate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga.
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akipakuwa chakula wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga.
Wadau wa Taasisi ya Ko Innoavate Pink Ijab wakiwa katika picha ya kabla ya Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga.
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katikati akiwa na Wadau waliotoa Vifaa kwa ajili ya Watoto Yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga.
Baadi ya wadau waliofika katika Iftar iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga.
Toa Maoni Yako:
0 comments: