Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akifungua kongamano la wajasiriamali katika ukumbi wa chuo cha ualimu Mtwara lililofadhiliwa na shirika la VSO. Lengo la kongamano hilo ni kuwajengea wajasiriamali hao uwezo na utayari wa kukamata fursa zitakazotokana na ugunduzi wa gesi unaoendelea katika mkoa huo na ukanda wa mikoa ya kusini kwa ujumla wake Kongamano hilo limefanyika leo 20.3.2018.
Wawasiliamali hao wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda hayupo pichani wakati akifungua kongamano la kuwajengea uwezo linalofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu mjini Mtwara.
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akiwa katika picha ya pamoja na wajasiriamali hao mara baada ya kufungua kongamano hilo mjini Mtwara leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: