Ona muonekano wa kijanja na kisasa....
Hebu lifanye gari lako liwe na muonekano wa kisasa zaidi kwa kujipatia Kapeti za Kisasa za Magari (3D Carpets) aina zote, Kapeti hizo ni imara na zenye muonekano wa kuvutia kabisa.
Bei zetu ni sawa na bure kabisa, usisite kututembelea tupo Sinza Mori uliza Mac Auto Accessories.
MacTemba via 0715 000 890/0674 120 000
Instagram @macautoaccessories







Toa Maoni Yako:
0 comments: