Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akichimba msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa kwenye shule ya sekondari ya Maweni Jijini Tanga wakati alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko 200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akichimba mtaro huo kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni Jijini Tanga leo Ambapo WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko 200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo.
Sehemu ya mifuko ya Saruji iliyotolewa na waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga katikati akipokea cheti cha kutambua mchango wake kusaidia maendeleo ya Jiji la Tanga kutoka kwa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kushoto ni Diwani wa Kata ya Maweni, Joseph Calvas.
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kulia akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wao katika kuinua sekta ya elimu kwenye Kata ya Maweni Diwani wa Kata hiyo kushoto Joseph Calvas.
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi katika akimshukuru waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni.
Afisa ElimuSekondari Jiji la Tanga, Lusajo Gwakisa akizungumza na waandishi wa habari ambapo walimshukuru waziri  wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni. 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akipiga picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari Maweni Jijini Tanga.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga katikati akiteta jambo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari Maweni Zawadi Ponera (kulia). (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: