Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiwagawia mahindi wananchi baada ya kumaliza kusalimiana nao wakati akitokea mkoani Tabora kwenda mkoa wa Kigoma katika ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akisalimiana na wananchi wakati akitokea mkoani Tabora kuelekea mkoani kigoma katika ziara yake ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akisalimiana na maafisa wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili mkoani Kigoma akitokea mkoani Tabora alipokuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili. Picha na Jeshi la Polisi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: