
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Lindi, kulia kwa IGP Sirro ni Kaimu Mkuu wa Mkoa Mh Shaibu Ndamanga na kushoto kwake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Renata Mzinga.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akiwa na Askari wa Mkoa wa Lindi baada ya kumaliza kukagua mazoezi ya ukakamavu na utayari yaliokuwa yameandaliwa na kikosi cha kupambana na uhalifu mkoani humo.


Toa Maoni Yako:
0 comments: