Aliekuwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA ambaye ameamishiwa kanda ya kati DODOMA DKT BILINITH MAHENGE amekabidhi ofisi yake rasmi kwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI.CHRISTINE MNDEME ili aweze kuwatumikia wananchi wa mkoa wa RUVUMA huku akimtaka kushirikaina vyema na wafanya kazi wa ngazi wote ili mkujenga nchi ya viwanda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: