Mwenyekiti wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji
Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao, kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017
Mwenyekiti
wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji
Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe,
(aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao,
kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda
sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao
makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017. Kulia ni Katibu wa muda wa
kundi hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya
Juu, (HELSB), Bw. Abdul –Razak Badru
Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe
Bw. Abdul –Razak Badru
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magzeti ya Serikali, (TSN), Dkt. Jim Yonazi, na Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean Bwanakunu.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka.
Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi, (aliyesimama), akizungumza.
Mwenyekiti wa muda wa kundi la wakuu wa Taasisi za Serikali, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania, (TBS), Profesa Egid Beatus Mubofu, (watatu kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi, (wakwanza kushoto), wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa wakuu wa taasisi za umma, kwenye ukumbi wa mikutano wa PSPF, Makao Makuu jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkutano huo ulilenga kuwaleta pamoja viongozi hao ili kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuboresha utendaji wao kwa ili kwenda sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano.
Mkurugenzi Mkuu wa BRELA, Bw Frank Kanyusi, akizungumza kwenye kikao hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania, (TBS), Profesa Egid Beatus Mubofu, akizungumza.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela.
Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare,, akipitia ajenda za kikao hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu(katikati), akibadilishana mawazo na Dt. Yonazi, (kulia), na Bw.Rutageruka.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela, (katikati), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, ambaye pia ni Menyekiti wa muda wa kundi hilo, Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (kushoto) na Bw. Mayingu.
Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare, akipitia ajenda.
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean Bwanakunu, akisikiliza kwa makini
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean Bwanakunu (aliyesimama), akizungumza.
Bw. Mayingu na wakuu wenzake wakifuatilia kwa makini mjadala.
Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare, akisikiliza.
Toa Maoni Yako:
0 comments: