Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Machuche Mwanjelwa (Mb) akizungumza wakati wa kikao cha kazi na Wakuu wa Idara na Vitengo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa wizara ya Kilimo (Kilimo IV).
Wakuu wa Idara na Vitengo wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Machuche Mwanjelwa (Mb) wakati wa kikao cha kazi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa wizara ya Kilimo (Kilimo IV).
Kikao kikiendelea.
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Machuche Mwanjelwa (Mb) (Kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe wakifatilia kikao cha kazi kilichowakutanisha na Wakuu Idara na Vitengo.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utafiti Dkt. Mansoor Hussein.


Toa Maoni Yako:
0 comments: