Askofu wa jimbo la mbinga ASKOFU JOHN NDIMBO leo ameongoza mapokezi ya kuupokea mwili wa hayati askofu CASTOR MSEMWA aliyefarika dunia tarehe 19.10.2017 saa saba mchana ana amzishi yake yatafanika hapo kesho katika jimbo la MASASI TUNDURU mkaoni RUVUMA, Askofu CASTOR MSEMWA ALIZALIWA TAREHE 13.02.1955 katika kijiji cha KITULIRA WIALAYANI NJOMBE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: