Waandishi wa habari kutoka chama cha waandishi wa habari wanawake
Tanzania (Women Journalist) wapata fursa ya kutembelea hifadhi ya Taifa
Saadani,kushoto ni mhifadhi utalii Bi. Aipakunda Mungure akiwapa mapokezi
makubwa waandishi mara ya baada ya kuwasili katika hifadhi hiyo jana.
Kaimu Mhifadhi mkuu na mkuu wa idara ya uhifadhi Lomi Ole Meikasi
akizungumza na waandishi wa habari wanawake ofisini kwake jana ambapo
alisema kuwa Hifadhi ya Saadani inavivutio vingi ikiwemo fukwe nzuri
zenye uasilia wake,aina mbalimbali za wanyama,ndege mbalimbali,Mazalia
ya kasa,misitu ya mikoko na ile ya ukanda wa pwani na maeneo ya mabaki
ya kihistoria


Toa Maoni Yako:
0 comments: