Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakipigiwa ngoma pamoja na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga wakisoma muhtasari wa shudhuli katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakimsikiliza Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour akiongea

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa Morocco Bi. Miriem Bensalah-Chaqroun akiongea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakibadilishana hati na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour baada ya kutiliana saini makubaliano ya jumla katika mashirikiano ya Kiuchumi, Kisayansi, Kiufundi na Kiutamaduni baina ya serikali ya nchi hizo mbili

Maafisa wahusika wakiweka saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa Air Tanzania Eng. Ladislaus Matindi akibadilishana hati ya mkataba wa makubaliano na afisa wa Shirika la ndege la Morocco

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakibadilishana hati na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour baada ya kutiliana saini makubaliano ya Mashirikiano katika sekta za gesi, nishati, madini na Sayansi ya miamba

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Bw. Masanja kadogosa akibadilishana hati na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafirishaji ya Taifa ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda baada ya kutiliana saini makubaliano ya Mashirikiano

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Tanzania Bw. Sam kamanga wakiweka saini

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizeba na Waziri wa Kilimo wa Morocco Mhe. Aziz Akhannouchi wakipeana mikono baada ya kutia saini makubaliano ya Ushirikiano katika miradi ya Mtangamano wa kuwasaidia Wakulima wadogo Tanzania.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa Morocco Bi. Miriem Bensalah-Chaqroun akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Taaisi ya Sekta Binafsi Tanzania Bw. Godfrey Simbeye

Maafisa wakipeana mikono baada ya kusaini hati za makubaliano

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa akibadilishana hati za makubaliano na Mwenyekiti wa MASEN Bw. Moustapha Bakkoury

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Sam Kamanga akibadilishana hati za makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima la Morocco Bw. Hicham Belmrah

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maeneo Maalumu ya Uwekezaji Bw. Joseph Leon Simbakalia akibadilishana hati za makubaliano na Mkrugenzi Mkuu wa SNTL Group ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Bw. Masanja kadogosa akibadilishana hati na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafirishaji ya Taifa ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda baada ya kutiliana saini makubaliano ya Mashirikiano

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Superstar Forwarders Bw. Seif A. Seif akibadilishana hati ya Mkataba wa Mkopo na Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati

Mkurugenzi wa CCBRT Bw. Telemans Erwin akibadilishana hati ya Mkataba wa Mkopo na Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania Bi. Brenda Msangi akipeana mikono Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati

Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Bi. Tonia Kandiero kibadilishana hati za Mkataba wa Ubia na Mwenyekiti Mtemdaji Mkuu wa Benki ya Centrale Populaire ya Morocco Bw. Mohamed BenChaaboun

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Sam Kamanga akibadilishana hati za makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima la Morocco Bw. Hicham Belmrah

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati a Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI.

Wageni wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI

Wageni wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI

Wageni wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei na wageni wengine wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiwa na watangazaji mashuhuri wa Clouds 360 Baby Kabaye na Bw. Samwel Sasali ambao pia walihudhuria hafla hiyo Ikulu
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii(TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo, Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi Devota Mdachi na Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey Meena na maafisa waandamizi wa bodi hiyo walikuwepo pia

Mpiga picha wa Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI akifurahia ngoma za utamaduni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI alipowasili kwa dhifa ya Taifa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI alipowasili kwa dhifa ya Taifa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na meza kuu wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa kwenye dhifa ya Taifa Ikulu

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na wageni wakati wa nyimbo za Taifa.

Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na wageni

Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume na wageni.

Mawaziri na wageni.

Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa.

Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa.

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara na Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa.

Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa.

Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa.

Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa.

Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: