Wafanyakazi wa Benki ya NMB Tawi la Mlimani City wakijitambulisha kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya Mlimani City, Elizabeth Marsham, akizungumza kwenye semina hiyo iliyofanyika Mgahawa wa Scaurp Mwenge Savey jijini Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano Kitengo cha Biashara wa benki hiyo Makao Makuu, Deusdedit Kipeleka (kulia), akizungumza kwenye semina hiyo.
Sala kabla ya kuanza semina hiyo.
Wateja wakipitia vipeperushi vya benki hiyo.
Semina ikiendelea.
Lilian Malekia kutoka makao makuu akitoa mada.
Wateja wakifungua akaunti ya chapuchapu.
Wateja wakiwa kwenye semina hiyo.

Asha Mayuva kutoka NMB Tawi la Mlimani City akitoa mada kuhusu akaunti za watoto.
Na Dotto Mwaibale.
BENKI ya NMB Tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo limekutana na wateja wake kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kujua changamoto zao mbalimbali katika semina fupi
Pamoja na hayo wateja wa benki hiyo waliopata fursa ya kuhudhuria mkutano huo uliofanyika katika mgahawa wa Scaurp uliopo Savey Mwenge jijini Dar es Salaam.
Katika semina hiyo wateja wa benki hiyo waliweza kueleza kuhusu akaunti mbalimbali za benki hiyo ambapo walipata fursa ya kujua mambo mbalimbali ya benki hiyo ambapo baadhi yao waliweza kufungua akaunti ya chapuchapu.

Toa Maoni Yako:
0 comments: