Katika Mkutano huo uliofanyika katika Manispaa ya Musoma UTT- PID imeendela kutoa Elimu kwa Halmashauri nyingi ambazo ni wajumbe wa ALAT hususani katika taratibu bora za mipango miji na jinsi gani Halmashauri zinaweza kunufaika kutokana na mipango bora ya Ardhi na utoaji wa huduma mbalimbali kama maji umeme na barabara.

Katika Maonesho hayo UTT PID mbali ya kutoa Elimu, pia iliwaelimisha wajumbe juu ya utendaji wao na manufaa ambayo Halmshauri nyingi walizofanya kazi nao pamoja ikiwemo Lindi zilivyonufaika kutokana na Miradi mbalimbali ya Maendelo waliyofanya kwa ubia na UTT PID
Mkuu wa Mahusiano ya umma ya UTT PID Ms. Eugenia Simon akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mji wa Kilombero Ndugu Denis Londo huku mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe. David Ligazio akisikiliza kwa umakini.
 Moja ya wateja Ndugu Sibera akisaini kitabu cha wageni katika banda la UTT - PID.
Moja ya maafisa wa UTT - PID, Ully akitoa maelezo na zawadi kwa mjumbe wa ALAT wakati mkutano huo mjini Msoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: