Bw. Bernard Odhuno Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke (kwa niaba ya Ofisi ya Makamu wa Rais) akibadilishana Mkataba na Bw. Sheikh Bawazir Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dezo Civil Contractors iliyopewa kazi ya Ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (wa kwanza kushoto) akishudia utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke. Ujenzi huo utafanywa na Kampuni ya Dezo Civil Contractors. Wengine katika picha ni wawakilishi wa Kampuni ya Dezo na Watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: