Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kumkaribisha Balozi wa Urusi hapa nchini Yuri Popov
aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana
na Balozi wa Urusi hapa nchini Yuri Popov mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments: