Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January
Makamba akiongea na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Bi. Katarina
Rangnitt. Balozi huyo aliambatana na Kamati ya Mazingira na Kilimo ya
Bunge la Sweden.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January
Makamba (Kulia) akifurahia jambo na mmoja wa wajumbe wa Kamati ya
Mazingira na Kilimo kutoka Sweden walipomtembelea Ofisini kwake Mtaa wa
Luthuli Jjijni Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: