Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa kwanza kushoto) akiwa katika ziara yake mpakani mwa Tanzania na Rwanda (Rusumo) kwa lengo la kufanya Tathimini ya Utekelezaji wa mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara na uwekezaji nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Msimamizi wa Mamlaka ya Mapato kituo cha Rusumo Bw.Ally Ellyan
(katikati) akitoa maelezo ya hali ya kituo hicho kwa Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua wakati wa ziara
yake mpakani hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi
Mwinyimvua akizungumza na baadhi ya madereva wa malori wakati wa ziara
yake katika kituo cha Rusumo Wilayni Ngara Mkoa wa Kagera. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi wa wajumbe wa kikao cha wafanyakazi wa Kituo cha Rusumo wakinukuu hoja kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani) wakati wa ziara yake mpakani hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments: