
Leo ni kumbukumbu ya miaka mitano (5) ya ndoa ya Bw. Cuthbert Noah na
Bi. Matilda Cuthbert ambayo walifunga Agosti 6, 2016 jijini Dar es Salaam japo kwa sasa maisha kayahamishia jijini Mwanza. Mpaka sasa wameshapata matunda ya watoto
watatu akiwemo Fredrick, Ronald na Catherine.
Kajunason Blog inapenda kuwapongeza kwa hatua kuwa mliyopiga, Mwenyezi Mungu azidi kuwasimamia na kuongeza baraka tele.
Bw. Cuthbert Noah akiwa na watoto wake Fredrick (kushoto) na Ronald (kulia).
Bw. Cuthbert Noah akiwa na mkewe Bi. Matilda Cuthbert pamoja na watoto wao wakisherekea mafanikio ya ndoa.
Bw. Cuthbert Noah akiwa na watoto wake Fredrick (mwenye tisheti njeupe), Ronald (Tisheti Nyekundu) na binti yake Catherine aliyembeba.





Toa Maoni Yako:
0 comments: