Katika Hali ya Kawaida Ushawahi kuona mtu akifumaniwa anakuwa kwenye Hali gani? Je Ushawahi Kufumaniwa? Je Ushawahi kuona mchepuko akimfumaniwa? Je Mume au Mke?

Basi haya yote utayapata kwenye Kipindi cha ANIKWA kitakachoanza kurushwa tarehe 06.08.2016 kupitia Channel ya ST Swahili inayopatikana kwenye King'amuzi cha Startimes pekee kuanzia Saa tatu Usiku kila Jumamosi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: