Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa, akitoa maelekezo kwa
wakazi wa wilaya hiyo waliojitokeza kushiriki kazi za usafi ikiwa ni
utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi kila ifikapo
Jumamosi ya mwisho wa mwezi.
Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndugulile (kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya
hiyo,Hashim Mgandilwa (wapili kulia) wakishiriki kazi za usafi eneo la
Feri Kigamboni jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la
Rais John Magufuli la kufanya usafi kila ifikapo Jumamosi ya mwisho wa
mwezi.
Mmoja ya watoto waliojitokeza kwenye kazi hiyo ya kufanya usafi.
Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Wilaya ya Kigamboni, Fanuel
Kipesha akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kazi ya usafi
kukamilika.
Baadhi ya washiriki wa kazi ya usafi walichoma moto takataka laini.
Gari Maalum kwaajili ya kubeba taka ngumu lilikuwepo na kazi hiyo ilifanyika.
Toa Maoni Yako:
0 comments: