Wolper akifurahi kujiunga CCM ambapo alisema anaomba asamehewe kwa kitendo chake cha kumpigia kampeni Lowassa mwaka jana.
Msanii Jacquiline Wolper akifurahi alipokuwa akikaribishwa na Mwenyekiti mstaafu, Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga tena na CCM akitokea Chadema jana usiku wakati wasanii wakitumbuiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Wolper akiwa na furaha ya wazi baada ya kukubaliwa kujiunga na CCM.


Toa Maoni Yako:
0 comments: