Ofisa Uandikishaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Kwandu Ikombe (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya wa NSSF katika eneo la Tanganyika Bus mjini Mwanza. (Na Mpigapicha Wetu)
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aisha Sango akigawa vipeperushi vyenye taarifa kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF .
Ofisa Masoko Mwandamiza wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amina Mmbaga akitoa elimu kuhusu NSSF kwa wanawake wajasiriamali wa kuuza viatu katika eneo la Tanganyika jijini Mwanza.
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna Nguzo akitoa elimu kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: