Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwn Sunil Colaso akinyanyua bendera kuwaruhusu waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda kuingia sokoni na kupeleka huduma ya facebook bure kwa wateja na watanzania kwa ujumla.
Helikopta maalum ikiruka angani na kusambaza ujumbe wa huduma ya facebook bure kwa wateja wa Airtel na watanzania ili kuwawezesha kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki na kuendesha shughuli za kijamii, uchumi kupitia huduma ya facebook bila gharama yeyote
Baadhi ya waendesha pikipiki jijini Dar es Salaam maarufu kama Bodaboda wakiondoka makao makuu ya Airtel kuingia sokoni kupeleka huduma ya facebook bure kwa wateja na watanzania kwa ujumla.




Toa Maoni Yako:
0 comments: