Hayawi hayawi yamekuwa Adam Steven Mabiki na Dominica Thadei Kissela wakiwa katika pozi la piwa mara baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam, Juni,18 ,2016 na kufauatiwa na shereha ya kukata na shoka iliyoifanyika kwenye ukumbi wa Alli Hassan Mwinyi uliopo Chuku Kikuu Huria jijini Dar es Salaam.
Bwanaharusi na bibi harusi Adam Steven Mabiki na Dominica Thadei Kissela, wakiwa na wasimamizi wao Dk.Evodius Zege na Sophia Nchini kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam, Juni,18 ,2016 na kufauatiwa na shereha ya kukata na shoka iliyoifanyika kwenye ukumbi wa Alli Hassan Mwinyi uliopo Chuku Kikuu Huria jijini Dar es Salaam.
Bwana na Bibi Adam Steven Mabiki wakiwa kwenye picha ya pamoja katika ufukwe wa bahari ya hindi Cocobeach jijini Dar es Salaam.
Wapambe wa bwanaharusi Adam Steven ambao ni wanakwaya wa Moyo mtakatifu wa Yesu wakiwa wamembeba bibi harusi Dominica wakati walipokuwa wapiga picha Cocobeach.
 Wapambe wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi Adam na Dominica.
Sebene linapokolea ukumbini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: