Luqman Ally (14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tar 13 Juni mwaka huu, anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Mara ya kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo Mazese.
Taarifa imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam kwa RB .NO MAT/RB/618/16.
Yeyote ambaye atamwona mtoto huyo apige
NAMBAYA YA SIMU. 0655891200. MAMA YAKE MZAZI WA LUQMAN.
Toa Maoni Yako:
0 comments: