Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso (kushoto) akiongea na
mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2016, Melisa John wakati
alipotembelea ofisi za Airtel ili kutoa shukrani na kukutana na
wafanyakazi wa Airtel kabla yakuondoka kwenda kwenye Mashindano ya
Airtel Trace Music Stars Afrika yatakayofanyika Lagos nchini Nigeria
tarehe 11/6/2016. Akishuhudia ni Mkurugenzi wa kikundi cha the voice
accapella, Obeid John Mark
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akimpongeza mshindi wa
Airtel Trace Music Stars 2016, Melisa John wakati alipotembelea ofisi
za Airtel ili kutoa shukrani na kukutana na wafanyakazi wa Airtel kabla
yakuondoka kwenda kwenye Mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika
yatakayofanyika Lagos nchini Nigeria tarehe 11/6/2016. Akishuhudia ni
Mkurugenzi wa kikundi cha The Voice Acappella, Obeid John Mark
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akisalimiana na
Mkurugenzi wa kikundi cha The Voice Acappella, Obeid John Mark wakati
alipomtembelea ofisini kwake . akishuhudia (katikati) mshindi wa Airtel
Trace Music Stars 2016, Melisa John
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2016, Melisa John (katikati) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso (kushoto) wakati alipotembelea ofisi za Airtel kabla yakuondoka kwenda kwenye Mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika yatakayofanyika Lagos nchini Nigeria tarehe 11/6/2016. Akishuhudia ni Mkurugenzi wa kikundi cha The Voice Acappella, Obeid John Mark


Toa Maoni Yako:
0 comments: