Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Mary Chatanda akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali bungeni Dodoma jana, ambapo alimtaka Waziri wa Fedha na Mipango kukata kodi kwenye mishahara ya viongozi wengine wa juu wa serikali kama ilivyoamua kukata kwenye kiinua mgongo cha wabunge.
Mbunge wa Jimbo la Nzega, Hussein Bashe (kushoto), akijadiliana jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kwenye viwanja vya Bunge Dodoma
Chenge akizungumza na wabunge wa upinzani
Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige akichangia mjadala bungeni
Naibu Waziri, Mavunde akijibu maswali ya wabunge bungeni
Waziri Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Naibu wake, Wambura
Mary Nagu akiwa na Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa
Mbunge wa Busokelo, Fred Mwakibete akiuliza swali bungeni kuhusu matatizo ya maji jimboni mwake
Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve (kushoto) akiwa bungeni
Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage akijibu maswali ya wabunge bungeni
Mbunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali
Mbunge wa Jimbo la Bariad, Andrew Chenge akijadiliana na wabunge wa upinzani
Mbunge wa Mtera kichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Good luck Mlinga akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali
Mbunge wa Gairo, Shabiby akichangia mjadala wa bajeti na kushauri serikali kuweka mfumo mzuri wa kodi.


Toa Maoni Yako:
0 comments: