Mgeni Rasmi, Dkt. Kissui Steven Kissui ambae ni Mwenyekiti wa Shindano la Uwezeshaji Kiuchumi na Ajira Tanzania, akifungua Mkutano wa Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Na BMG
Mkutano huo ambao uliandaliwa na Shirika la Machinga Mkoa wa Mwanza SHIUMA, ulilenga Machinga kujadiliana na wadau wengine wa Uwekezaji ikiwemo taasisi za kifedha, juu ya Kurasimisha biashara zao na kuwekwa kwenye mifumo rasmi ya Kibiashara na Kijamii.
Machinga wamesema changamoto kubwa zinazowakabiri ni Ukosefu wa Mitaji ya Biashara, Maeneo ya Kufanyia Biashara pamoja na Ukosefu wa Elimu Biashara. Wamesema wanataka nao watambulike na taasisi za kifedha ili wapate fursa ya kukopesheka ili kukuza mitaji yao.
Katibu wa Shirika la Machinga Mkoa wa Mweanza SHIUMA, Venatus Anatory, akizungumza katika Mkutano wa Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mwenyekiti wa SHIUMA, Matondo Masanja (katikati), akiwa na wadau wengine katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Machinga Jijini Mwanza
Machinga Jijini Mwanza
Machinga Jijini Mwanza wakinyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kukubaliana kwa pamoja na hoja yakurasimisha biashara zao, Kupata maeneo rasmi ya Kufanyia biashara katikati ya Jiji pamoja na Kutambulika katika taasisi za kifedha ili waweze kukopesheka na kupatiwa elimu ya kibiashara.
Toa Maoni Yako:
0 comments: