Unyayo wangu ni kipindi kipya kabisa kinachokujia kupita Tone Tv, ambacho kinaletwa kwenu na Mtangazaji wetu Eddie Nyota, kinacholenga shabaha ya watu waliothubutu kufanya jambo fulani katika jamii na wanauelewa na jamii husika. Utajifunza mengina kuburudika pia kupitia kipindi hiki Kinacholenga rika zote.



Toa Maoni Yako:
0 comments: