| Wasanii wakicheza mpira katika uzinduziwa tigo games mapema jana katika ukumbi wa High Spirit Jijini Dar es salaam< |
| Wadau mbalimbaliwakipata taswira mbele ya gari katika RED carpert |
| Wasanii wakiwa katika pozi na mfano wa Risasi katika uzinduzi wa TIGO GAMES |
| Wadau wakifurahi jambo katika uzinduzi huo |
| Mtangazaji wa Choice Fm na Mchekeshaji Idris Sultan akiwa live jukwaani kusherehesha uzinduzi wa Tigo Games mapema jana katika ukumbi wa High spirit Jijini Dar es Salaam |
| Wadau wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa Tigo Game. |


Toa Maoni Yako:
0 comments: