Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizindua nembo mpya ya Tuzo za Rais kwa Wazalishaji bora wa Viwanda
PMAYA The President’s Manufacure of the Year pamoja na Mwenyekiti wa
Wenyeviwanda Tanzania CTI Dkt. Samwel Nyantahe katika Ukumbi wa Serena
Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka Sekta ya Viwanda nchini
kabla ya kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka
2015 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini
Leodgar Tenga mara baada ya kumalizika kwa hafla hio ya utoaji Tuzo za
Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na baadhi ya Wadau wa Viwanda nchi mara baada ya kumalizika kwa
hafla hio ya utoaji Tuzo za Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na washindi mbalimbali waliopata tuzo za Rais kwa Wazalishaji bora wa viwanda kwa mwaka 2015. PICHA NA IKULU.

Toa Maoni Yako:
0 comments: