Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema akichangia hoja bungeni wakati wa kujadili Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Wabunge wakiingia bungeni Dodoma leo.
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba akijibu maswali yaliyoulizwa na wabunge
Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angelah Kairuki (kulia) pamoja na Naibu wake, Seleman Jaffo bungeni Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akiwasilisha makadilio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 bungeni Dodoma leo
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), kushoto, akizungumza na Mbunge wa Hanang, Dk. Mary Nagu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum, Kiteto Koshuma akichangia wakati wa kujadili Bajeti ya Wizara ya Afya
Mbunge wa Kigoma Kusini, Husna Mwilima na Waziri wa Fedha na Mipango wakiingia bungeni.
Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige akiingia bungeni Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) akiwahi kuingia bungeni
| Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (kushoto) akiwa na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma |


Toa Maoni Yako:
0 comments: