Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaeleza kuwa, Mbunge wetu wa Viti Maalum na Dada wa Mh. Tundu Lissu, Mh. Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kansa tangu mwaka jana.
Mungu aiweke roho Marehemu Mahala pema peponi
Amin.



Toa Maoni Yako:
0 comments: