Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Balozi wa Japan Nchini Mhe Masaharu Yoshida akifungua pazia kuashiria
kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu
kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara
Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Balozi wa Japan Nchini Mhe Mashaharu Yoshida wakishangilia kuwekwa jiwe
la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipena mikono na Balozi wa Japan Nchini Mhe Mashaharu Yoshida huku
wakishangiliwa baada ya kuwekwa jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa
ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na
balozi wa japan nchini Mhe Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya
mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi
wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere
maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na
balozi wa japan nchini Mhe Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya
mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi
wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na
balozi wa japan nchini Mhe Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya
mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi
wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipata maelezo ya namna mandhari itakavyokuwa kutoka kwa Mtendaji Mkuu
wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale baada ya kuweka jiwe la msingi kwa
ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara
za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi
Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi
wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere
maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi
wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere
maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe kuashiria
uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo
Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
wazee wa Dar es salaam katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Toa Maoni Yako:
0 comments: