Nikiwa na wadau Dar na Mwanza walipokutana pamoja ndani ya kiota cha maraha kiitwacho Diamond ninachopatikana Kona ya Mbwiru, Mwanza... Hakika wikendi ilikuwa burudani... kutoka KUshoto ni Gsengo wa Gsengo Blog, King Mailo almaarufu Tajiri wa Mwanza, Fredy kijana mjasiliamali wa ukweli, Maduhu (tisheti blue nyuma), Mimi mwenyewe mmiliki wa Kajunason Blog, Joseph Magige na Robert Latonga mzee wa TV 1, Dar.
 
Gsengo wa Gsengo blog ambaye pia ni mtangazaji wa Jembe ni Jembe Radio 93.7 Mwanza akifanya mahojiano na Cathbert Kajuna ambaye ni mmilikiwa wa Kajunason Blog mara baada ya kuonekana kiwanja cha jijini Mwanza.
Cathbert Kajuna ambaye ni mmilikiwa wa Kajunason Blog akishow love na Robert Latonga wa TV 1 jijini Dar.
Wadau wakitafakari mawili matatu.
Show love ya marafiki, Cathbert Kajuna ambaye ni mmilikiwa wa Kajunason Blog, Joseph Magige na Robert Latonga mzee wa TV 1.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: