Mkuu wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia anakaimu wilaya ya Hai, Dk Charles Mlingwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya mazingira kwenye chanzo cha uzalishaji umeme cha Kikuletwa kinachosimamiwa na Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),kushoto ni Makamu wa Chuo hicho (Utawala na Fedha) Mhandisi Dk Erick Mgaya.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Mhandisi Dk Erick Mgaya akipanda mti wakati wa maadhimisho hayo eneo la Kikuletwa wilaya Hai mkoa wa Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Said Mderu akipanda mti katika madhimisho hayo.Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mkuu wilaya kabla ya kuanza  upandaji miti kwa ajili ya kutunza mazingira.
Mkazi wa Kikuletwa akisikiliza kwa makini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: