Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha na OMR).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: