
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan
Omar kushoto akikabithiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.
Omar kushoto akikabithiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai wakitiliana saini katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Amina Ameri Issa kulia akikabidhiwa nyaraka na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu Issa Mlingoti katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar akitoa nasaha zake kwa Wakurugenzi na Watendaji mbali mbali waliohudhuria katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar mwenye koti na tai akiwa katika Picha ya pamoja na Naibu katibu Mkuu wa Wizara hiyo Amina Ameri Issa pamoja na Wakurugenzi na Watendaji wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.


Toa Maoni Yako:
0 comments: