Mtoto Suzana John Badi akikata keki wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOGMtoto Suzana John Badi akimlisha keki mama yake Elizabeth, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wikendi.Mtoto Suzana John Badi akimlisha keki Baba yake John Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wikendi.Mtoto Suzana John Badi akimlisha keki Mama yake mkubwa Rose huku mama zake wakubwa Josephine na Stela wakishuhudia, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi.
Mtoto Suzana John Badi akiwalisha keki watoto wenzake, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wikendi.Mtoto Suzana John Badi akilishwa keki na mama yake Elizabeth, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi.
Mtoto Suzana John Badi akilishwa keki na Baba yake John Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa,
iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam
wiki endi.Mama mkubwa wa Suzy, Rose Mahiga akikata keki wakati wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwao eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wikendi. Birthday hiyo ilienda sambamba na ya Suzy.Mama mkubwa wa Suzy, Rose Mahiga akilishwa keki na Suzana Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwao eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. Birthday hiyo ilienda sambamba na ya Suzy.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: