Q1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Dkt.  Mahadhi Juma Maalim kuwa Balozi wa Tanzania  Ikulu jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha  Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo  kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ  Ikulu jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve   kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa MwanzaIkulu b jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi  Paul Amani Moses  Chagonja kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu  jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Mnadhimu Mkuu wa  JWTZ MStaafu Luteni Jenerali (Rtd) Samuel Albert Ndomba baada ya  shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  Ombeni Sefue na viongozi wa Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi  katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa  Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu  jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q17
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  na viongozi wa Jeshi la  Wananchi na Jeshi la Polisi   katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa  Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa  Mikoa ya  Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam jana January 30,  2016
Q22
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akifurahia jambo na viongozi wa Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi  katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha  Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q23 Q24 Q25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na msemaji wa JWTZ Luteni Kanali Ngeleba  Lubinga baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na  Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam jana January 30, 2016
Q26
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Inspekta  Jenerali wa Polisi Abdulrahman Kaniki  baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu  wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi  na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam jana January 30, 2016.
PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: