1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa.

2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini.

3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika Kazini.

4. Tafadhali nipigie ni huduma ya msingi

5. Nyama ni mbaya kwa Afya yako.

6. Jiko la mkaa linapika chakula kizuri sanaa.

7. Kumbe ukisaga Mahindi yasiyokobolewa yanatoa unga safi

8. Maji ya kuchemsha ni matamu na mazuri sana zaidi ya Dasani.

9. Waweza kula ugali kama kifungua kinywa (breakfast)

10. Ukioga na sabuni ya Kipande, bado utakuwa msafi.

😳🙉🙈😳🙉🙈 ASANTE JANUARI.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: