EJP: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Norway nchini Bi. Hanne-Marie Kaarstad. Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto) akifurahia jambo na Balozi wa Norway nchini Bi. Hanne-Marie Kaarstad. Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.


Toa Maoni Yako:
0 comments: