Mkurungezi mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akizungumza na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Harvard, Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama jijini Dar es Salaam kupata taarifa za uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano.
Mkurungezi Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi toka chuo kikuu cha Harvard cha Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama jijini Dar es Salaam kupata taarifa uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano.


Toa Maoni Yako:
0 comments: