Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini.

Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Akisikiliza kero za wagonjwa wanaoitibiwa katika Hospitali ya Tengeru, katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalin hapo.
Picha zote na Woinde Shizza wa libeneke la kaskazini blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: