Mtoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Neema Mashingia akimsaidia mteja kuhama kutoka huduma ya 3G kwenda huduma ya 4G wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya 4G LTE uliofanyika jana mjini Morogoro
| Wadau waliohudhuria uzinduzi huo wakisikiliza kwa mageni hotuba zilizokuwa zikitolewa. |
| Mgeni rasmi, mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr Rajab Rutengwe akisalimiana na mkurugenzi wa Tigo kanda ya Mashariki Goodluck Charles, katikati ni Afisa wa maendeleo ya masoko Shavkat Berdiev. |
| Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Suleiman Bushagama (Kushoto) Mutalemwa (katikati) na Ben Mponzi (kulia) wakibadilishana mawazo wakati wa uzinduzi huo. |
| Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Suleiman Bushagama (Kushoto) Mutalemwa (katikati) na Ben Mponzi (kulia) wakibadilishana mawazo wakati wa uzinduzi huo. |

Toa Maoni Yako:
0 comments: